Nikiondoka kidogo tu mjukuu unaanza vituko. Hiki nini sasa? Unataka niliite li
Foxhound lije lilete rabsha hapa ama nini?
Sasa fikiria
mzabzab akiiona hii. Ndo hapo utasikia tako skonzi sijui nini dah!
Itabidi nisiwe naondoka nini? inavyoonekana unahitaji ulinzi 24/7 wallahi 😬😬😬🖐🖐❤️