Akifa mmoja si ataoza. Sasa huyo mwingine atafanya nini? Hapo ukute baadhi ya mifumo yao inaingiliana. Na kwa kawaida mmoja akiumwa na mwingine anaumwa. Nitagoogle nione kama kwenye medical history kuna case ambapo mmoja alikufa na mwingine akabakia hai (kwa muda mrefu)