Vituko mitandaoni. Tupia chako

History

A family of Xolos, (thease shown are hair less) one of the most ancient dog breeds in the world, originally from what is now Mexico. Native Americans, they were guardians of the night and the underworld, protectors against evil spirits, companions of wizards and witches, and guides of mortals during difficult times and across the land of the dead, looking very much like
Anubis part of the Kemetian
Pantheon...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZAY B

Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI.

Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na walikua mahasimu sana ma mwenzake Sista P.

Alitoa nyimbo maarufu Nipo Gado akishirikisha Kibra, na alikua na Album Mama Africa ambayo kwa nyakati zake pia ilihit sana.

Kipindi yeye yupo hot kwa upande wa kina dada ni Sista P tu ndio alikua wanasumbuana. So tunaweza sema ni moja ya waasisi wa ili game Tanzania.

Siku zimepita kimya, sijamsikia kwenye vyombo vya habari, social media wala story za vijiwe.

Last time alitoa wimbo wa Penzi la Teja ila naona haukupokelewa kiviile.so akala bati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unabii

Mchungaji Na Nabii Wa Kanisa La The Rapture Ministry Church Boniface Victor Amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Kuhama Katika Mji Huo Kabla Ya Kufika Tarehe 1 Mwezi 4, 2024 Kwa Kupisha Adhabu Ya Mungu Juu Ya Mji Huo.!

Mchungaji huyo amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Waanze Kuuza Mali Zao Ikiwemo Nyumba, Magari, Viwanja Na Na Baadhi Yao Wasimamishe Ujenzi Katika Mji Huo Na Kuwaomba Wahamie Kibaha Picha Ya Ndege.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who was Lucifer before he became a fallen angel?
Nobody, Lucifer was never an angel, the name is the invention of Jerome after mistranslating a Hebrew word into Latin via Greek.

Lucifer in the Bible refers in fact to the King of Babylon, probably Nebuchadnezzar II. (Isaiah 14:4, 12)
You are likely thinking of Satan, but we don’t know his name, the Bible never tells us its name. Satan isn’t a name, it’s a title, a Hebrew word that means resister or adversary. (Job chapters 1 and 2)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😁
 
😂😂😂😁
 
Duniani wawili wawili

Mmoja wa wanafamilia wa mchezaji Miche Minnies (19) anayetumikia club ya Mamelod Sundowns ameliambia jarida moja maarufu nchini SA kuwa Binti yao huyo, hana undugu wowote na Nyota wa Zamani wa Soka Ronaldinho. " Ni kufanana tu kwa kawaida, familia yetu haifahamiani kabisa na huyo ambaye binti yetu anafananishwa nae, na hata mtaani kwetu tangu akiwa mdogo watu walikuwa wanamwiti Ronaldinho lakini ukweli hana undugu kabisa na yeye " aliongea mwanafamialia huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…