Ukiacha simu unlocked au locked na password inajulikana wife akiikamata kama anamawivu tegemea kukuta vitu vya namna hii...
I'm sure hio kitu amepost mke wa huyo jamaa
Sheikh Hilary kipozeo ndo anakwambia ukienda peponi,mwanaume unakabidhiwa mizigo kama hii 100!
Jamani tujitahidi tuione pepo!Sijui na sie wakristu tutapewa?