Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimerudia kusoma kama mara tano na bado nimetoka kapa
Nilivyoelewa wanaomba radhi kwa kuweka video ya raisi alipokuwa yupo feri mwaka Jana wao Jana mwananchi wakaiweka kwenye Twitter wakisema Ni Jana tarehe 13 raisi yuko chato sasa wametoa taarifa ya kuomba radhi kwa uzembe wao

Sent from Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…