Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kazi ya uongozi si rahisi kama umedhamiria kuwatetea wananchi haswa, kuna haja ya kugusa pande zisizogusika na ni lazima ziguswe, kabla ya Mwaka kuisha tutakuwa na orodha nzima ya watumishi wa Umma waliobaki na wazamani walipata vipi mali zao kwa wale tulio na mashaka nao, hatasalimika hata mmoja nami nikibainika nichukuliwe hatua, nchi zetu uongozi imekuwa ni maigizo na kula mali za nchi tu” Ibrahimu Traole Rais wa Burkina Faso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They will eliminate him!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…