Wabongo wengi hawatathubutu kuingia kwenye Basi hili. Basi la Owl huko Seoul Korea Kusini. Linaitwa huvyo kwa sababu huendesha huduma za usiku pekee, kutoka usiku hadi saa 11 alfajiri?View attachment 2709695
Muwekezaji mmoja alilete ruti ya kwetu Tabora, ntakuwa napanda hilo basi kila nisafiripo. Ila asiende Mwanza aishie Tabora tuu.... sababu nnayo kapuni 😊.
Mwanzo 38:9 BHN
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.