Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna sehemu nilipita nikasikia "kumi na tatu, kumi na tatu, kumi na tatu hiyoo ,kumi na tatu

Nikajiuliza sana hiyo kumi na tatu nini?
nikasema hata ngoja nichungulie, haiwezekani iyo kumi na tatu inipite hivi hivi nisijue ni nini?

nikachungulia!
Maji ya moto usoni, wakati naugulia maumivu nikasikia sauti imebadilika "kumi na nne kumi na nne , kumi na nne hiyo😄
 
Umetisha


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
 
Ha ha ha ha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…