Vituko mitandaoni. Tupia chako

Naunga mkono hio NGO ifunguliwe mapema, hili tatizo ni kubwa sana katika jamii.
 
Naunga mkono hio NGO ifunguliwe mapema, hili tatizo ni kubwa sana katika jamii.

Nishaanza kuifanyia mchakato.

Inshallah kabla mwaka haujaisha ofisi itakuwa ishaanza kazi.

Afya ya akili, nao sio tuu wataachwa kwa kukosa wenzi kwa kukimbia maamuzi yao ambayo sio, bali watapatiwa msaada wa namna ya kudhibiti hisia zao.
 
Mama E.

This is my heart.

It is ALL YOURS

You know that it is very fragile.

Please keep it in a safe place.

I trust you [emoji1545][emoji8][emoji8][emoji8]

View attachment 2695009
Mkuu,hivi huyu mama E huwa yupo humu vituko mitandaoni?maana naona huwa unamtaja sana au ni Malavidavi tu?
Je ni mke?
Girlfriend?
Friend?
BFF?

[emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…