Ni wilaya mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Ukikaribia mjini ulizia kwa Mzee Shimba mkulima wa nyanya na dengu utaletwa hata na mtoto mdogo mpaka nyumbani. Mengine yote yatakuwa juu yangu 😁😁
Ni wilaya mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Ukikaribia mjini ulizia kwa Mzee Shimba mkulima wa nyanya na dengu utaletwa hata na mtoto mdogo mpaka nyumbani. Mengine yote yatakuwa juu yangu