Vituko mitandaoni. Tupia chako



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam! Dunia ya mikinzano. Hasi na chanya. Huyu apate. Mwingine akose. Uhai na kifo. Furaha na huzuni. Upendo na chuki. Ukweli na uwongo. Mungu na Shetani. Dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu. Naomba ridhiki yako maana nina njaa na watoto wangu wana siku sita hawajala cho chote. Wewe ndiye mtoa ridhiki mkuu. Nisaidie Baba yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuomba radhi kutwa mara tatu


Wiki iliyopita Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera alisema Mawakili waliofungua kesi kupinga Bandari zetu kubinafsishwa ni wezi. Homera aliwataja mawakili hao kuwa ni Wakili msomi Boniphace Mwabukusi, Wakili msomi Alphonce Lusako, Wakili Msomi Emmanuel Chengula na Wakili msomi Raphael Ngonde. Alidai mawakili hao wananufaika na wizi wa bandarini ndio maana hawataki bandari ibinafsishwe.

Kufuatia tuhuma hizo, Mawakili hao wamemtumia Homera kusudio la kutaka kumburuza Mahakamani kwa kuwachafua (slander defamation) na wanamdai fidia ya TZS 200 Milioni.

Ikiwa Homera hapendi kuburuzwa mahakamani, amepewa fursa ya kuomba radhi mara 3 kwa siku, kwa muda wa siku 3. Yani asubuhi saa 12 aende Redioni aseme "Mimi Juma Homera, naomba radhi kwa kutumia mamlaka yangu vibaya na kwa ujinga wangu niliwaita wezi watu wanaotetea bandari zetu zisiporwe na waarabu". Afanye hivyo saa 6 mchana na saa 2 kamili usiku (Kama dozi ya Malaria).

Akishindwa kufanya hivyo ataburuzwa Mahakani, yakamkute yaliyomkuta Musiba kwa Fatma Karume na Mzee Membe. #IweFundisho #BandariYetuUrithiWetu #SayNoToChiefMangungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…