Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hatari Sana, wanawake marafiki wakikutana aisee kuachana mpaka mtu aingilie kati
 
Walioongoza katika matokeo ya mitihani ya Dar es Salaam katika mtihani wa Daraja la Juu walikuwa Miss Nurjehan Walli, wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Aga Khan, na Issa Shivji, wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Aga Khan. Pichani juu, sasa wote wawili wanasomea vyeti vyao vya elimu ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…