Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nilidhani walisema hirizi za Kiafrika hazivuki bahari, ndivyo inavyovuka sasa.
Anna Pojnava akipelekwa katika Hospitali ya Wrolcaw nchini Poland kwa ajili ya upasuaji huku mume wake Mnigeria, Olusegun Onajide, aliyemtumia magun alipotoweka hewani aliposhindwa kujitenga na mpenzi wake!!!
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotea mno jamani?

Mpaka nikawa najisemea si ajabu kweli huyu binti "alivunjwa miguu"

Kwema lakini?

Madogo hawajambo na baba yao?
😁😁😁😁Sijavunjwa niko bukheri kabisa alhamdulillah.
Madogo na baba yao pia wazima khofu kwako tu.
Mie nipo huwa napita kimya kimya tu ila leo nikakumbuka kuungana na familia kupost 😊😊.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…