Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wasomi wakuu wa sheria wa nchi hii wanasema limkataba lina matatizo halafu eti anaibuka Mwijaku, Ki*enge (na mapoyoyo wenzake) au Steve Nyerere na Mpoto kujaribu kuaminisha umma kwamba mkataba uko poa. Pesa ni mwanaharamu aisee. Kuna watu wanaweza kutetea hata makimba kuwa yana uturi safi kisa tu wamelipwa 🚮🚮🚮

 
Hata waliowateua wapige debe nao ni walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…