Vituko mitandaoni. Tupia chako

🤣🤣🤣 Nimecheka sana leo sitaki kuamini mzee wa mistake Shimba ya Buyenze unaomba ushauri kama zigo linalika

Sema nini too much of anything is bad ila akinitunuku napita naye tu
 
Hhahaa nimecheka sana kwamba

🤣🤣🤣 Nimecheka sana leo sitaki kuamini mzee wa mistake Shimba ya Buyenze unaomba ushauri kama zigo linalika

Sema nini too much of anything is bad ila akinitunuku napita naye tu
Afadhali yako.

Imagine mzabzab kabwaga manyanga...ila simlaumu maana hata mimi hapo naona kidogo ni parefu. Sijui kutakuwa na hali gani huko ikulu maana si kwa minyama hii ya bandia 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…