Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu namjua. Alikuwa kwenye show ya Botched...episode ya wanawake waliofanya hii mioperesheni ya kujiongezea makalio na matiti....na sasa wanajuta!

Ni muuguzi huko Atlanta na kabla ya hapo alikuwa mtingisha matako kwenye klabu za usiku (stripper) na hiyo ndo ilimfanya ashindilie hizo nyama matakoni. Alisema kuwa ameamua kuziondoa pole pole maana zimeshaanza kumletea matatizo ikiwemo maumivu na lack of sensation mpaka kwenye mbususu...na hapo ndo kwanza anachezea 30s.

mzabzab au Mzee wa kupambania mna maoni gani? Analika au ni too much? 😁😁😁




Your browser is not able to display this video.
 
Hana mvuto huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…