Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Malengo ya tozo hayakutimia. Hazina faida yo yote mbali na kushibisha matumbo ya wachache ๐ฎ
Wanakuwaga nazo za moto nene hatari...utafikiri hicho kitumbo ni ki-oven fulani hivi kimehifadhi joto linalotokana na mafuta yaliyorundikana hapo na kikiwa activated hilo joto linasambazwa mpaka kwenye kinu cha nyuklia...yaani uwiiii!
Kuchapiwa hakuepukiki ๐๐๐๐
Hilo tunda kuliwa mpaka ulipakae chumvi... Bila hivyo halina ladha...
Sikuwezi๐ฅฑWanakuwaga nazo za moto nene hatari...utafikiri hicho kitumbo ni ki-oven fulani hivi kimehifadhi joto linalotokana na mafuta yaliyorundikana hapo na kikiwa activated hilo joto linasambazwa mpaka kwenye kinu cha nyuklia...yaani uwiiii!
SDY hoyeeeee! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji91][emoji91]
View attachment 2652459
Tunachangamsha genge tu mjukuu siku ziende ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธSikuwezi๐ฅฑ
Babu Kama babu[emoji23]
Hii kauli yako naipenda sana[emoji16],Kuchapiwa hakuepukiki [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Ndiyo ndiyo, maisha yenyewe haya haya[emoji16]Tunachangamsha genge tu mjukuu siku ziende [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndiyo maana nakupendaga mimi mjukuuNdiyo ndiyo, maisha yenyewe haya haya[emoji16]
Kwani uwongo?Hii kauli yako naipenda sana[emoji16],
Kuchapiwa hakuepukiki
Unataka kusema nini mkuu? ๐ณ๐ณ๐๐๐Hilo tunda kuliwa mpaka ulipakae chumvi... Bila hivyo halina ladha...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamani kiyanda hakizai haramu[emoji16]Kwani uwongo?
Hata liharibifu Li-Foxhound linasemaga hivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
#UkichapiwaKausha
Maisha mafupi haya[emoji3]Ndiyo maana nakupendaga mimi mjukuu
Uko mwelewa sana!
Sababu aliyoitoa niliipenda. Ilionyesha ubinadamu wake!