Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi huu uzi umekuja kuwa wa aina gani maana hizi picha nyingi huku sio vituko tena ni po***n
Kuna wakati watu tunajisahau mamake tusamehe. Kwa vile siye ni wanaume, mara moja moja kushtua neva siyo mbaya lakini kuna post/picha zingine zinarushwa mtu unaona hata aibu kuiwekea like inabidi uiruke tu....na zinaweza kuja mfululizo kama mvua!

Pole kajojo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…