Tena hapo huwaambii kitu na Ph.Ds zao. Kwanza ndiyo wanakwambia ensenene zina protini maalum zinazosaidia katika ukuaji wa haraka wa ubongo wa mtoto. Ukijumlisha na Omega fats wanazozipata kwa kula samaki wenye mafuta mafuta hasa emboju basi darasani ni moto wa kuotea mbali πππ
View attachment 2643990