๐ ndiyo.Na ukashinda kesi...๐๐๐
Punguza ligi sasa....
Mbona zamani ulikuwaga kapole tu huna shida na mtu?
Mie 10Nitapata 5
View attachment 2639773
๐คฃ๐คฃ๐คฃKwenda hukoo mwanahizaya wewee, mwana usiye na haya, yaani nicheze vikoba na mkopo kausha damu halafu wewe uchukue hela zangu ukaenda kuhonga mwanamke wako aifoni14....????
Shuwaini kwelikweli na usirudi hapa keeengeeeh weeeh....๐ ๐ ๐
Umeona nini kabaya...? ๐Khaaa๐คญ
Duuh!Sarafu za Kirumi za Kale za ngono
Sarafu hizi zilitumika kama ishara za kuingia kwenye madanguro ya Kirumi[emoji845]
Kulingana na Suetonius, kubeba sarafu yenye sanamu ya mfalme kwenye choo au danguro kunaweza kuhesabiwa kuwa uhaini. Kwa hivyo, hizi ndizo sarafu pekee zilizotumika kwenye madanguro....View attachment 2639910
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sarafu yako ni mbuzi kagoma huwezi pewa kifo cha mende au sefuli
#6 ndo mpango mzima, hayo mengine kelele๐
I'd go for sex and music
Ni kweli, wababa hawaendi na vitu feki feki๐
๐๐๐๐ ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธWee kama mie tuu...alafu nilishajua madhambi yako