Vituko mitandaoni. Tupia chako

Some time wanaume tuna vitu ndani lakini hakuna wakumwambia madawati ya jinsia yapo kwa aajili ya wanawake tu wanaume tumeachwa nyuma ukute huyu jamaa Kuna mambo mengi alivumilia akashindwa ukute huyu dada ndo wale nipige uone! Ila jamaa amezidisha.
 
Sidhani kama unaweza ku-justify alichofanya. Kung'oa meno kwa nyundo na kutoboa jicho kwa bisibisi. You can't justify this...Ingekuwa ni vitasa vya kufanya settings zirudi kwenye default pengine japo napo huwa sikubaliani navyo maana unaweza kuishia kuzidisha ukajikuta umeshaua!

Mtu mkishindwana mnaachana tu. Sasa atakula mvua 30+ kisa?

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…