Wee msukuma acha ukorofi, sasa huon huyo dada hapo kwenye gari ameacha kuongea baada ya kuambiwa anaenda kupewa kitu anataka....
Kile kitu kinatuliza ila ukimaliza chapuo 3 bado ataanza kuongea tena maana yake ukeshe ukipiga chapuo kama unataka asiongee ongee au akae kimya....😅😅😅😅😅
Ila ndo fumbo mlilopewa wanaume, kuishi na sisi kwa namna tuende pamoja sio tushindane bali tupatane kuanzia mahaba, gharama za maisha, starehe, mapumziko, kulea watoto n.k. n.k.
Ila nimefungua darasa la kuwaelewa wanawake, kuingia bure kugraduate na hela....😁😁😁 💵😋😋😋.