Ubarikiwe kwa kusema ukweli mkuu ๐Hahaah! Huu mchezo wa kuchit wameanzisha wazaramo
Halafu ndiyo unakutana na CV ya Grace Mwaisaka anaomba kazi kwenye kampuni yako. Utamwajiri?
Washakata tamaa ya maisha hana cha kupotezaHalafu ndiyo unakutana na CV ya Grace Mwaisaka anaomba kazi kwenye kampuni yako. Utamwajiri?
Watu wanajisahau sana na hii mitandao na hawajui kwamba kila wanachokiandika humu hakifutiki. Na mbaya zaidi utakuta hilo ni jina lake halisi. Sad!
Wasukuma bana ๐คญ๐คฃ๐คฃ๐
Mzee wa kupambania huyu ni wewe bila shaka๐
Wasukuma bana ๐คญ๐คฃ๐คฃ๐
Si unajua tena kwenye 1 na 2 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTunawakubali sana ndugu zetu hamnaga baya na mtu
Ahahahaaa bado hujawaonja.....!!!??๐๐๐