Vituko mitandaoni. Tupia chako

Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi, aliyepigana vita ya Kagera na akakitumikia Chama cha Mapinduzi mpaka kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Mbunge wa Kuteuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mstaafu, baba wa Watoto Wanne na Shabiki wa Simba. Mzee Yusuph Makamba ametimiza miaka 85 leo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…