Mwanamke Huyu Kutoka Kenya Ambae Pia ni Raia wa Ugiriki. Anasema kwamba Si Kila mwanamke Anaeolewa na Mwanaume Tajiri ni Kwamba amefuata Pesa.
Bali Yeye Hajafuata Pesa ila ni Mapenzi ya dhati Tu Ndio yaliyompelekea kumpenda yeye binafsi anaeleza kua mapenzi ya kweli kwa waafrika kuwapenda wazungu yapo
Mojawapo ya makubaliano walioingia yeye na Mwanaume Huyu ni Kwamba Endapo Mwanaume atafariki basi mwanamke Huyu Hapaswi kurithi hata Shilingi Moja ya Mwanaume Huyu mfanyabiashara Tajiri Sana Huko Greece.