Vituko mitandaoni. Tupia chako


Honestly.....

Kuna huyu baba, yaani...

Ananikubali sana, ila sasa kikimpanda kichaa chake cha ego anaanza kununa yeye, nikipokea maombi ya kununa na nikaendeleza mfungo wa kutokuwasiliana, siku isiyo na jina anaibuka na simu, sms, atanisemesha hadi nitacheka na kulainika.... basi tuu vurugu zisizo umiza na anavyonifahamu sasa tunajikuta tunaishia kwenye mieleka......😅😅😅😅😅

He is such of a kind.....😊😊.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…