Ila matumizi mikorogo yana uraibu kama uraibu mwingine wa pombe,madawa nk,kuna tube zimepigwa marufuku ila wanawake ndio wanaziulizia balaa,kuna wengine wanachanganya septrine tablets kwenye lotion,ilimradi ajichubue tu,sasa kama huyu yeye haoni kwamba kaharibika?