Shukran mkuuu acha nichukue madini hapa nikienda sehemu niongee na wazee vizuriWaambie siku nyingine wakienda waongee na wenyeji...hasa hasa wazee...
Mi niliendaga sehemu Singida ndani ndani huko nikaulizia wazee wa kuongea nao nikaelekezwa kwa Bi. Kizee mmoja anayeogopwa eti mchawi. Niliongea naye sana na tukaishia kuwa marafiki wazuri mno hata leo nikifika anaacha shughuli zake zote ananisikiliza. Na kitu kilichonipeleka huko kilikwenda vizuri mno kuzidi hata wenyeji 😁😁😁
Kinyozi wa nywele za wapi?Kuna vitu ni automatikale mf. Kuwa kinyozi
Hiyo sura sasa kama naniliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2619431
🤣🤣🤣🤭Kinyozi wa nywele za wapi?
Stacia jamani!