Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hao wawili si mpaka wapendane sasa
 
Mzeee mwinyi anasema siri ya kuishi miaka mingi ni kuowa WAKE WAWILI [emoji3][emoji3][emoji3] anasema mke mmoja anasababisha presha ,sukari na ugonjwa wa akili[emoji3][emoji3][emoji3].....VIJANA FANYENI RESERCH YA jambo hiliView attachment 2615120
Huyu mzee ni mkweli kabisa.
Kuwa na mke mmoja nikujitakia kifo cha mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…