Mchungaji Paul Mackenzie Ambaye Aliwashauri Waumini Wa Dhehebu Lake Kufunga Mpaka Kufa Ili Waweze Kufika Mbinguni Siku Ya Jana Ameilalamikia Mahakama Kua Amekua Akinyimwa Chakula Na Baadhi Ya Watu Wake Wamekua Wakipigwa!!

NIGERIA- Mwanamke mmoja amejikuta akibaki na majuto baada ya mume mtarajiwa kuvunja harusi yao kutokana na dada huyo kumpelekea kadi ya mwaliko mpenzi wake wa zamani 'Ex'
Mume mtarajiwa aligundua kuwa mwanamke wake alimtembelea mpenzi wake wa zamani siku chache kabla ya ndoa yao baada ya kufanya udukuzi wa simu yake.
Baada ya kugundua hilo alitangaza matayarisho ya harusi hiyo yasitishwe mara moja.
Akiomba ushauri mwanamke huyo amesema "Mbele yangu, aliwaita wazazi wote wawili na kuwataka wasitishe maandalizi yote ya harusi. Walipouliza kwanini, aliwaambia nitaeleza vizuri zaidi baadaye.''