Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbona imenigomea aseeee

Sijui decryption link ndo manini tena 🤔
 
Nakumbuka nikiwa form 1 shule kulikua na utaratibu wa uji break time. Vikombe tulikuwa tunaacha kwenye meza ya dawati siku moja jtatu tumefika shule tukakuta wahuni wa form 2 kumbe jana yake waliingia darasani kwetu wakavunja vikombe vyote. Aisee siku hiyo tulilia kwa uchungu sana maana unawaza saa 9 alasiri inafika vp haujala chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…