Video ya mchungaji mmoja kutoka nchini Nigeria imesambaa mitandaoni akiamuru simu za waumini wake ambazo hazikuwa na chaji, ibada itakapomalizika zitakuwa zimeingia chaji kupitia muujiza, huku muumini mmoja akitoa ushuhuda simu yake ilianza kuchaji ibada tu ilipoanza