antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,073
- 133,367
Hahaha...Nilikuwa napitia baadhi ya picha za ma supa dupa yutong nilizowahi kuposti huko na kuzifuta kumbe mod yupo ananilia timing....Na hii inashangaza maana picha zangu nyingi huko huwa zinafutwa anyway...
Hahaha.. mnyama kagoma kwenda mbele!What's going on in this garage?
View attachment 2594716
Hatari sana!All the batteries are down in Mt. Kenya...hata zichajiwe vipi!...Tatizo kama la Rombo...
View attachment 2594733
😁 😁 😁 😁 😁Ana pa kulala au hana pa kulala?
Hii shida ya h na irabu ni mtihani sana [emoji16]