Ni huo huo.
Kumbe hata sasa nishaliwa kichwa dah! Nilikuwa napitia baadhi ya picha za ma supa dupa yutong nilizowahi kuposti huko na kuzifuta kumbe mod yupo ananilia timing....Na hii inashangaza maana picha zangu nyingi huko huwa zinafutwa anyway...
Itoshe tu kusema kuwa sitakanyaga huko tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2594694
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Nimependa jinsi walivyokuunganishia hizo ban. Huyo mod kama unamfahamu mwambie kuna Mirinda yake huku...
Just avoid the petty issues. I can tell. You are not as calm as you used to be back in the day...Remember?