Miaka ya 80 huko ukivaa hii mbele ya demu unakuwa na makonfidensi hatari [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji23]utamu/mizuka vitaisha kakifa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]
Au sio [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23]utamu/mizuka vitaisha kakifa
Duh! Watu wana laana sana
Akate yote mawili, kichwa kiwe kama cha nyoka
Huyo itakuwa lazima walimla...Bora wewe ulijifunza mapema. Ila kuna watu hawasikiagi kuhusu wake za watu hadi wakifumwa ndio wanaanza kujutia.
Nimekumbuka ile video sijui tukio lilitokea wapi ila watu wanaongea lafudhi ya Pemba jamaa anapigwa na bapa la panga huku kaamriwa atoe nguo sijui walimla na yeye mana sikuona hadi mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikua anatia huruma lkn ajabu watu hawakomi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app