Vituko mitandaoni. Tupia chako

Afande Ramadhani Ali jana Machi 20 alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza akikabiliwa na mashtaka mawili, Kurusha maudhui ya kingono mtandaoni na kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile. Mshtakiwa aliyakana mashtaka yote akidai kuwa sio yeye, Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 4 mwezi ujao.
 
Kuna ndugu yetu aliwahi kuambiwa mbona kama una mimba akasema tuna msingizia tukamwambia haya. Miezi 7 baadaye aikabidi amfate maza anamwomba msamaha

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wanamsingizia sana brazzer rama πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…