Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimepokea Malalamiko toka kwa wananchi Kanda ya ziwa.Nawaahidi Kila nitakapofanya Kampeni zangu nitahakikisha kutakua na Ugali wa Nguvu na Samaki, Nyama za kutosha ili watu wanaotoka kanda hizo pia waweze pata chakula wasitaabike na wali nyama
-Hashim Rungwe Mgombea Uraisi CHAUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…