Siyo kwamba mnaoanza Ramadan ndiyo mpunguze kuingia mitandaoni humu na sehemu zingine zinazoweza kutia dosari mfungo wenu? Kuniambia mimi ambaye sijafunga niache kurusha SDY kwa vile wewe eti umefunga ni kuoneana tu; na kukwepa majukumu.
Focus on what you can control... you will be happier and more contented