Ukiona hivyo basi jua kuwa you have a wrong girl na ni sawa na changu tu uliyemwokota barabarani huko.
Ukipata binti smart mkawa washikaji na deep connection hata mambo ya kupelekeana moto yatatokea tu spontaneously lakini kwanza ile kuwa tu pamoja ni muhimu zaidi.
Tena binti akiwa kwenye siku zake ndiyo anahitaji upendo na care zaidi - kumpikia, kumwogesha, kumpaka mafuta, kumkanda ...just to be there for her....