Jimmy Carter Rais wa Marekani ambaye ameishi Muda mrefu kuliko wote na ambaye ana Miaka 98 sasa, amemuomba Rais Joe Biden asome wasifu wake siku ya Mazishi yake. Mwezi Uliopita Rais Carter, alichagua kutoendelea na matibabu hospital bali kukaa nyumbani mpaka mwisho wa Maisha yakeView attachment 2554750
Hivi huyu anafundisha kweli au ni maigizo tu?mbona uvaazi wake darasani haufai,na hata hizi picha za nje ya darasa ndio zaidi, hakuna katazo ya kimaadili linalomtaka kujisitiri?