Wizi mpya mjini
Zinatangazwa ajira
Unatuma maombi
Unaitwa kwenye interview na shariti la kwanza lazima uende na Laptop [emoji3]
Mkifika wote mlioitwa kwa usaili mnawekwa kwenye chumba kimoja
Inafika muda wa breakfast, mnaelekezwa sehemu ya kwenda kwenye breakfast na mnatakiwa muache Laptop zote hapo kwenye meza maana mlangoni kuna walinzi kabisa [emoji3]
Inakuja na gari inawabeba mnaenda breakfast
Mkirudi
Nasema tena
Mkirudi
Narudia
Mkirudi
No mlinzi
No Laptop
KUNA MACHOZI TU [emoji1787]
Sharing is Caring