Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nakubishia!
Sawa ni mtazamo wako na mimi huo ni mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu naamini hakuna clear line inayotenganisha wanawake wanaofaa kuolewa na wale wasiofaa, no one is perfect. Cha muhimu ni kumpata yule anayeweza kuchukuliana na mapungufu yako na wewe unaweza kuchukuliana na mapungufu yake hapo ndipo ulipo ugumu na ndio maana nimesema ni bahati.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nakubishia!
 
Mume aliambiwa Mke wake anahitaji damu, hivo kama mume ingependeza amchangie.

Doctor: inabidi umtolee mke wako damu, hapa hospital hatuna damu ya kutosha

Mume: hapana sitaweza kutoa damu yangu.

Doctor: mke yuko kwenye hali mbaya, nakusihi umtolee damu

Mume: Yani nimepe damu yangu akienda kuchepuka huko nje huyo mwanaume ampasue yeye pamoja na damu yangu,
Kwanza siwezi kutoa kabisa usiku unaweza kuanza kuota vitu vya ajabu ajabu kumbe ni wife yupo huko anageuzwa geuzwa na mwanaume mwingine pamoja na damu yangu.
Kwanza unaeza shangaa unakua shoga kwasababu damu yangu imechanganyika na ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…