Hii ndio ilikuwa post ya mwisho ya
Shimba ya Buyenze TUMUOMBEE SANA
Wakuu tukutane kesho. Huu ni uzi mzuri. Tunakutana tunacheka na kufurahi. Hii ni muhimu sana hasa katika dunia hii ya sasa yenye upungufu wa upendo. Hatujuani humu bali tumekuwa kama marafiki sana.
Mkawe na Valentines Day nzuri. Na yote yafanyike kwa tahadhari. Mkilewa msiendeshe. Ngono ziwe salama kwa ambao hamjuani afya...Dunia....
As for me; it is go time - SDY style!
View attachment 2517970