Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tafiti zinaonesha kuwa Barani Afrika Tanzania ndio Nchi inayo Ongoza kwa kuwa na Wanawake wengi ambao Hawana Akili Timamu, jee ni kweli au ni utafiti wa Kiwaki,.?
View attachment 2514689
Kweli kabisa tena wengine ninaishi nao hapa mkuuu ni utumbo khaaa percent 73 ni stupid aseee wengine hata hapa jf unaona ni uoxo mkuu
daaah
 
Mnatumia vigezo gani?

Mkilinganisha na wa wapi?

Don't just judge and unfairly denigrate our women.....
(Matendo matendo matendo) utajua tu yaani mimi kwenye familia yangu mwanamke mwenye akili niliyejidhirisha ni 1 tu basiiii wengine wote ni empty yaani imagine mtu yupo 39 anabehave kama 19 au mwenye 30 kama 17 ni utumbo mkuu sema mwenye brain yupo 72 anabehave kama 94 much love my grandma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…