Hii kitu ipoo, Tulienda Arusha kwenye kituo kimoja cha kulelea watoto Yatima, kipo Kwa Sadala. Sasa moja ya vijana naye ni Yatima ailivaaa Tshirt inasomeka "Now you are understanding, why I don't want to *** with you"
Na ilikuwaje mpaka mm nikaona, kile kituo ni cha kanisa waromani, sasa ile tumefika tusali kimshukuru Mungu mm kabla hatujafumba macho ndy kuona halooooo kila wakati nilikuwa nafumbua macho kusoma yale maneno, baada ya sala ndy nikashtua wenzangu nao wasomeeee....