Vituko mitandaoni. Tupia chako

Miss Faith Odunsi, mwenye umri wa miaka 15 aliiwakilisha Nigeria kwenye Shindano la Kimataifa la Hisabati, akazishinda China, Marekani, Uingereza na nyinginezo na kuwa mwanafunzi bora wa hisabati duniani...

Waamuzi walimwita Calculator mwishoni. Anasoma shuleni Nigeria sio nje ya nchi, anapaswa kusherehekewa. Hongera sana
 
Siyo huyu aliyepata full scholarship kutoka zaidi ya vyuo vikuu 15 vya Marekani na Uingereza vikiwemo Harvard, Princeton, Yale, Stanford, Columbia, MIT, Cambridge n.k.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…