Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mjomba hii inaitwa "martingale strategy" inabidi uwe na roho ya chuma hasa! Kipindi nikiwa 'mkamaria' haswa niliwahi kuitumia hii njia, aisee Kuna siku roho nusu iachane na mwili

Nilikua nafanya kama unavyosema, ukishinda unaanza tena na dau la kwanza, aisee Kuna muda nikaanza buku ikapigwa, nikadouble ikapigwa, mwanangu nililiwa mpaka 526,000/= bila kubadilisha option, ilikua roulette nilikua nacheza red tu na zilikua red na black kama option

Kwa kifupi hakuna njia ya uhakika kupata pesa kwenye betting, ingekuepo 100% guarantee watu wasingefanya kazi Mzee, kifupi hapo unapunguza probability ya kuliwa tu


Ila we endelea ipo siku utakipa!! Retired gambler!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…