Vituko mitandaoni. Tupia chako

..Yapo madai ambayo hayajathibitishwa yanayodai Nemes alifungwa Jela na baadaye alipewa nafasi ya kutoka jela kwa sharti la kujiunga na Jeshi hilo l
Duuh!
Hili la kuwa mfungwa inawezekana ni kweli na ndo limemponza, maana nilisikia wafungwa hawana choice. Kama ni physically fit anakuwa na option mbili tu, ni anaenda vitani au anatangulizwa mbele za haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…