Breaking News: Taliban walitoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Na, hakuna elimu kwa wanawake pia, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!
IMANI INAPOKUWA MZIGO MZITO
View attachment 2475209