Unamaliza kugombana na kumtusi kondakta, baadaye kidogo unasikia mlio wa sarafu kuashiria kuwa konda ameanza kukusanya nauli. Unajisachi unagundua huna wallet, ushaibiwa, na huna hata 100, na konda mwenye hasira kali juu yako anakukaribia
Maajabu wanayokumbana nayo wazazi wa mabinti...
BABA MWEUSI
MAMA MWEUSI
Na wewe walikuzaa mweusi tii.. lakini umefikisha miaka 20 umeanza kuwa mweupe😳
…..HAPO NDO WAZAZI WANAPOJIULIZA, hivi mbegu ilkuwa ya kinyonga au🤔